Donald Trump amechaguliwa kuwa rais wa 45 wa Marekani akimbwaga Hillary Clinton kuingia Ikulu ya White House.
Ushndi huo umepokelewa kwa hisia tofauti tofauti na wadau wa soka duniani, angalia Tweets za wadau mbalimbali wa soka baada ya ushindi wa Trump.
...
Thursday, November 10, 2016
Azam wamuenzi vyema Mzee Said Mohamed, yatoa kipigo kitakatifu kwa Mwadui

AZAM FC leo wamemuenzi vyema Mzee Said Mohamed kwa kuishushia kipigo cha mbwa mwizi Mwadui FC cha mabao 4-1, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Mwadui mkoani Shinyanga.
Katika mchezo huo ambao timu zote mbili zilianza kwa hofu kubwa kutokana na kutokuwa na matokeo mazuri katika michezo yao iliyopita,...
Lebron James asimamishwa.

Haikutegemewa lakini imetokea. Cleveland Cavs wamefungwa na Atlanta Hawks huku wakiwa na rekodi bora zaidi katika NBA msimu huu.
Dennis Schroder alifunga pointi nyingi zaidi katika maisha yake ya mchezo wa kikapu, 28 points na Atlanta Hawks ikaifunga Cleveland Cavs ambao ni mabingwa...
Tuesday, November 8, 2016
Ronaldo na Messi waongoza kwa kulipwa pesa nyingi

Wachezaji Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ndio wachezaji wa mchezo wa soka wanaongoza kwa kulipwa pesa nyingi zaidi duniani kwa sasa.
Ronaldo analipwa kiasi cha Pauni 365,000 kwa wiki huku akijikusanyia kiasi cha pauni milioni 19,kwa mwaka Nae Lionel Messi analipwa kiasi cha Pauni 365,000 kwa...
Monday, October 17, 2016
Transfer Rumours
Charlie Upex
Tottenham are leading the race to sigh Peterborough wonderkid Leo Da Silva Lopes.
Chelsea's interest in Porto teenager Ruben Neves and AC Milan's link to Erik Lamela
James Jimbo Halstead ...
Women's Champions League

Manchester City to face Brondby in last 16
Manchester City have been drawn to face Danish side Brondby in the last 16 of the Women's Champions League.
City, the last British side remaining in this season's competition, eased past Russian side Zvezda 2005 6-0 on aggregate in the previous round.
Three-time...
FA boss Greg Clarke says 'no issues' before England appointment: Sam Allardyce

Due diligence was carried out on Sam Allardyce before his appointment as England manager, says Football Association chairman Greg Clarke.
Allardyce, 61, left his role in September after 67 days in charge following a newspaper investigation claiming he offered advice on how to "get around" rules...